Ticker

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Responsive Advertisement

TANZANIA DIASPORA

Mwezi December tutakuwa na safari ya pamoja ya Uwekezaji, kwenda nyumbani-Tanzania, kwa pamoja. Kutembelea sehemu mbalimbali zenye vyanzo na fursa nzuri za Uwekezaji.
Katika safari hii, pia kutakuwa na fursa ya kutembezwa sehemu za Utalii. (Gharama itakuwa ni ndogo sana)

Tafadhali, tujulishe kama ungependa kushiriki katika safari hii ya kihistoria.
ni inbox +1 (919) 519-1624
Ahsante sana.

Post a Comment

0 Comments