Dada Edith Peter Oyebade ni diaspora mkazi wa London Uingereza anajishughulisha na ujasiriamali wa kilimo cha pilipili
Yuko London Leyton hana Duka kwa sababu mzigo wake ana supply kwa jumla ni Diaspora tuu ndio anawauzia reja reja.
Lakini kuanzia week ijao atakuwaa eneo analopatikana mara nyingi maana atakuwa na Cold Room na anaweza kupanga mda atakaokuwa pale kama mtakuwa unaitaji chochote wakazi wa London UK
Sambamba na pilipili Edith anauza pia kahawa ya Tanzania
Tumuunge mkono
0 Comments