Ticker

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Responsive Advertisement

URGENT COVID-19 APPEAL FOR TANZANIA

Mimi Dr Asha Migiro, balozi wenu wa Tanzania nchini Uingereza, pia ni mlezi wa Tanzania UK Healthcare Diaspora Association (TUHEDA). Napenda kuwahamasisha watanzania wenzangu pamoja na marafiki kutoa michango ya kupeleka barakoa (masks) nyumbani pamoja na vifaa vingine vya afya ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona. Karibuni kuchangia kupitia akaunti ya TUHEDA Appeal for Tanzania kama inavyosomeka kwenye tangazo

Post a Comment

0 Comments