Dkt James Alex Msekela
Hatimaye Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. James Alex Msekela kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia. Kabla ya uteuzi huu Mheshimiwa Msekela alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Mh. Msekela ataapishwa siku ya tarehe tano mwezi huu.
0 Comments