Blogger Widgets

Newdeal Africa

Thursday, January 5, 2012

Dr. James Alex Msekela ateuliwa kuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Italia

Dkt James Alex Msekela

Hatimaye Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. James Alex Msekela kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia. Kabla ya uteuzi huu Mheshimiwa Msekela alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma. Mh. Msekela ataapishwa siku ya tarehe tano mwezi huu.

0 comments: