Blogger Widgets

Newdeal Africa

Friday, December 30, 2011

HADIJ A KOPA AKIWARUSHA WADAU NAPOLIPicha ya chini ni MC Lady Judy akiingia kulianzisha, Lady Judy ni mahiri sana katika kuendesha sherehe na matukio mbalimbali Italy kwani ana kipaji cha pekee, wengine huwa wanamuuliza kwa nini asiwe mtangazaji katika TV na radio. (picha na George Mayaka)

0 comments: