Edith Peter Oyebade Mtanzania mkazi wa London UK, analima pilipili Tanzania na kuuza London, pamoja na pilipili sasa anapeleka mboga za majani za kitanzania. Kama uko London na unataka kula bongo flava mtafute dada Edith kwa namba hizi: +44 7432617007 |
0 Comments