Ticker

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MSIBA DMV NA KENTUCKY

Mtanzania mwenzetu David Ismail amepatwa na mauti Jumatatu June 1, 2020 DMV katika Hospitali ya Suburban, marehemu David Ismail alikua mkazi wa Kentucky alikua akihamia DMV kuanza maisha mapya, aliwasili May 31, 2020 toka Kentucky na kupatwa na mauti siku iliyofuata.

Tunaomba tuungane pamoja popote pale ulipo tufanikishe safari ya mwisho ya mpendwa wetu David Ismail.

Gharama za kusafirisha mwili kwenda Tanzania ni karibia $16,000.

Tuma rambirambi zako kupitia mhasibu wa Jumuiya ATC Lysa Elizabeth Bantu CashApp 919 452-2746/ Zele Mwishe Bantu

Pia, unaweza Kuchangia Kwa GoFundme

https://gf.me/u/x6yipi

Rambirambi
1. Henry Kente $50
2. Mr. & Mrs. Kocha Mateso $50
3. Latifa Athumani Tyson $50
4. Akwilina Perry $100
5. Peace Kachuchuru $100
6. Baraka Mwaijande $50
7. Amran Kilemile $50
8. Loveness Mamuya $100
9. Eliud & Grace Mbowe $100
10. Lulu Muze $100
11. Fikiri Nyenzi $50
12. Milembe Mkono $25
13. Irene Bomani $50
14. Anne Kaaya $50
15. Olympia Mensah $50
16. Ally Bambino $20
17. Mr. & Mrs. Jongo $50
18. Mr. & Mrs. Manase $50
19. Alawi & Family $50


20. Jessica Che $25
21. Lilian Wanjohi $20
22. Gloria $25
23. Jacqueline $50
24. Mariam Mashaka $50
25. Rajab Ally $50
26. Da Leyla (Madikodiko) $30
27. Ediltruda $200
28. Galus Bohella $30
29. Donacian & Eliserena $50
30. Liban Newa $50
31. Specifier Musika $50
32. Leah Ligate $50
33. John Z. Mbatta $50
34. Martina Mungongo $50
35. Christine E. Moshi $50
36. Jane Mgaya Robinson $50
37. Flora Marwa $50
38. Flavian Marwa $200
39. Mr. & Mrs. Yasin Landi $25
40. Oliva $100
41. Rose Mziray Kolawole $50
42. Sia Makundi $50
43. Angel Mkumbo $20
44. Tumainiel Msuya $35
45. Augustina Charles $20
46. Victoria Marealle $150
47. Christine K. Mwanyika $50
48. Ambakisye Somola $40
49. Doreene Pambe $100
50. Mr. & Mrs. Mushala $50
51. Doris & Abbas Mattaka $50
52. Shukurani $50
53. Mussa Maingu $50
54. Ludo Swai $50
55. Mr. & Mrs  Peter Kirigiti $50
56. Pilly Francis Ramadani $21
57. Ngalu Buzohera $30
58. AK & Mona $200
59. Gatty & Keith $50
60. Dotto & Mage Haruna $50
61. Fatima Kassam $25
62. Mjwahuzi Kamugisha $50
63. Herman Kambimtoni $50
64. Kelvin Mmassy $50
65. Gloria Kimaro $50
66. Faraja Isingo $100
67. Ebra Nyagaly $35
68. Adam Fred Tenga $50
69. Ally Idowa $20
70. Nnali Mbilinyi $50
71. Suleiman Baajun $30
72. Mr. & Mrs Ngoye $100
73. Hidaya Mahita $30
74. Rehema Majollo $50
75. Edga & Flavia $50
76. Omary Mzava $25
77. Mercy Rwiza $40
78. Joyce Mshana $50
79. Roble Abdul $30
80. Sophia & Abdul Mombasa $100
81. Anonymous $100
82. Flora Ismail $50
83. Amina Hassan $30
84. Samuel Idoma $50
85. Stella $30
86. Dr. Frank Minja $100
87. Mr. & Mrs Ubao $50
88. Abe & Mrs. Mtulia $100
89. Datu Shedrick & Family $50
90. Mwasi Marijani $30
91. Kessy & Thecla $50
92. Fatima Kassam $25
93. Mwasi Madawili $25
94. Aziza Farahani $30
95. Mariam Aranga $50
96. Lucy Bowe $50
97. Neesha Jurobi $50
98. Joyce M. Chale Salala $50
99. Rukia Mchumo $50
100. Edith E. Kombe $100
101. Dorothy Pambe $50
102. Flora Mnkande $30
103. Carl Mhina $50
104. Harrieta Shangarai $100
105. Edlaila NJ $50
106. Amani Marealle $100
107. Arthur Chacha $100
108. Magret Luvanda $25


Total collected from CashApp $6,220
GoFundMe collection $5,274

Total collected from both platforms $11,494

Familia ya Ismail/ATC tunatanguliza shukurani na Mwenyezi Mungu awalipe pale mlipopunguza kwa mpendwa wetu David Mathew Ismail

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE

Update as of 8:05 pm. Next update will be 4pm 6/6/2020.

Post a Comment

0 Comments