 |
Marehemu JANUARY JEREMIA MKOBA
1949- 2012 |
JUMUIYA YA WATANZANIA
ITALIA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA
MZEE JANUARY JEREMIA MKOBA ( KOBA MDAULA) KILICHOTOKEA
USIKU WA JUMAPILI TAREHE 21/10/2012.
KUTAKUWA NA MKUTANO WA DHARULA LEO JIONI SAA KUMI NA MBILI JIONI.
MKUTANO UTAFANYIKA TALABANI KWA DADA
MARY. KUFIKA NI WAJIBU WA KILA MTANZANIA , TAFADHALI TUZINGATIE MUDA .
AHSANTENI NA POLENI
SANA!
MUNGU AILAZE ROHO YA
MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI. AMEEN!
0 Comments