Pichani Watanzania wakisimama kwa dakika moja ishara ya heshima kwa marehemu na dua
Watanzania Italia leo jioni walikutana mjini Napoli katika mkutano wa matayarisho ya kusafirisha mwili wa Mtanzania TWAHIRI HUSSEIN OMARI aliyefariki usiku wa tarehe 4/1/2012. mipango ya mazishi inaendelea na kikao cha mwisho kitakuwa siku ya jumatano saa kumi jioni.
(picha na George Mayaka)
0 Comments