SHEREHE YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA ILIYOFANYIKA UGIRIKI
Pamoja na hali ngumu ya kiuchumi inayoendelea kuikumba ugiriki, watanzania tunaoishi nchi hii tulikusanyika Jumamosi 10/12/2011 katika ofisi ya Jumuiya iliyopo Athens na kusherehekea hadi asubuhi.
Uendeshaji wa sherehe ulisimamiwa na watoto wetu SHARMILA wa Kasa Musa,MWANAIDI wa Jumbe Sheha ,MARIA wa Bangura NA MARIAMU wa Alawi.
KAYU LIGOPORA
KATIBU MKUU
JUMUIYA YA WATANZANIA UGIRIKI
0 Comments