Kwa Wadau wote! Happy New year
Bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU yenye makao yake Ujerumani,
Bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa band aka FFU yenye makao yake Ujerumani,
Inatoa salam za heri ya mwaka mpya 2012 kwa wadau wote,mabibi na mabwana,wakubwa na
watoto popote pale duniani.
Tuna watakia kila la heri na baraka za mwaka mpya 2012 ,afya njema,maisha bora,furaha,
amani,upendo na mshikamano.
Happy New Year 2012 !!
0 Comments