Hadija Kopa akiwa na Lady Judy ambae ndie aliyekuwa msimamizi mkuu wa show nzima.
Wadau wakichiazi baada ya kumfikisha malkia wa mipasho Hotelini
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Italia Abdulrahamani A.Alli akimkaribisha Hadija Kopa Napoli
Hadija Kopa pichani akiwa na wadau wa Napoli mara baada ya kuwasili tayari kwa burudani la Christmass. Malkia wa Mipasho aliwanyongesha mpaka asubuhi!!! Picha na George Mayaka
0 Comments