Mheshimiwa Leonce Uwandameno akitoa kikombe kwa mshindi wa kwanza wa
Mashindano ya Kimataifa ya Nne ya mchezo wa Bao la Kiswahili yaliyofanyika mjini Roma mwezi wa Septemba, 2011. Wachezaji kumi na tatu kutoka Uholanzi, Uswizi na Italia walihudhuria mashindano haya.
0 Comments