Ticker

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Responsive Advertisement

KHADIJA KOPA KUPAGAWISHA NAPOLI X-MASS

MALKIA WA MIPASHO BI KHADIJA KOPA ATAKUWEPO MJINI NAPOLI SIKU YA TAREHE 25 DECEMBER 2011 KATIKA SHOW YA NGUVU KWA AJILI YA X-MASS. NI MARA YA KWANZA MSANII WA TAARABU KUFANYA  BURUDANI MJINI NAPOLI-ITALY. WATANZANIA WOTE KILA PEMBE YA ITALY MNAKARIBISHWA SANA BILA KUKOSA KWANI KIINGILIO NI BURE!!!!
 

 MAHALA: BUFFALO CLUB
MUDA: KUANZIA SAA 8:30 USIKU MPAKA  KUCHEE!

MERRY X-MASS!!!!!!

Post a Comment

0 Comments