Malkia wa Mipasho HADIJA KOPA tayari yuko Greece kwa ajili ya show Europe. Malkia wa mipasho atakuwepo Greece, Holland na baadae siku ya X-MASS atapagawisha mjini Napoli Italy. ni mara ya kwanza kwa msanii wa taarabu kufanya show Italy. Show ya Italy wadau wote mnakaribishwa kwa sababu cha kuvutia zaidi kiingilio ni bureeeeeeee!!!! kwa ajili ya Xmass!!!!!!
0 Comments