Jumuiya ya Watanzania Rome (TZ-RM) inayofuraha kuwakaribisheni wanajumuiya wote kwenye mkutano mkuu wa kufunga mwaka wa Jumuiya siku ya tarehe 19 Novemba 2011 kwenye ukumbi uliopo mtaa wa Via Cassallatico 6, maeneo ya Cassia mjini Rome, kuanzia saa tisa jioni mpaka saa tatu usiku.
Mkutano utajadili maswala mbalimbali ya jumuiya yaliyotokea kwenye kipindi cha mwaka mzima. Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na katibu wa jumuiya ya Watanzania Rome ndugu Andrew Chole Mhella au mweka hazina ndugu Awadhi Suleiman kwa e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it au kwa simu namba 3479094800. Nyote mnakaribishwa.
0 Comments