Timu ya mchanganyiko wa Tanzania(MODENA), Tunis na Morocco walipambana kimchezo na Timu ya Camerun katika mchezo wa mpira wa miguu kwa ajili ya kupeleka ujumbe zaidi kuhusu usawa na haki za binaadamu. katika mchezo huo Camerun walishinda. (picha na Mwinyimwaka Hatibu-katibu wa jumuiya ya Watanzania Modena)
0 Comments