SEE RECORDS ya mjini Napoli Italy imetengeneza video kadhaa katika kipindi cha miezi miwili mjini Daressalaam. Moja ya video ni ya msanii chipukizi na mwenye umri mdogo sana katika game ya Bongo flava DOGO ASLAY ambae kasindikizwa na gwiji la Bongo Flava MH TEMBA wa TMK. Nyimbo hiyo inayoitwa NIWENAWE na zingine tayari zipo hewani zikiwemo mbili za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. SEE RECORDS pia imepika ngoma mpya kwa msanii HUSSEIN MACHOZI ambayo tayari imekwisha tengenezewa video. nyimbo ya msanii Machozi itapatikana hewani hivi karibuni kwa mujibu wa uongozi wa SEE RECORDS.
kwa video zingine bonyeza SEE RECORDS
0 Comments