WATANZANIA ITALY
Watanzania walishiriki katika mashindano ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi ambao bado upo katika jamii ughaibuni. Timu ya Tanzania ikiongozwa na mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania tawi la Modena ndugu Pascal Nyalusi(picha ya chini) ilitolewa katika hatua ya robo fainali.( picha na George Mayaka)
0 Comments