Blogger Widgets

Newdeal Africa

Thursday, April 4, 2013

UCHAGUZI JUMUIYA YA WATANZANIA GREECE

JUMUIYA YA WATANZANIA UGIRIKI ILIFANYA UCHAGUZI WAKE MKUU WA KUCHAGUA VIONGOZI NA WAJUMBE WA JUMUIYA HIYO SIKU YA JUMAMOSI TAREHE.23/04/2013, UCHAGUZI HUO ULISIMAMIWA VIZURI NA TUME MAALUM ILIYOCHAGULIWA CHINI YA MWENYEKITI WAKE OMAR HUSSEIN MILALA NA WAJUMBE WAKE WA 4.WATANZANIA WENGI WALIJITOKEZA KATIKA KUTUMIA HAKI YAO HIYO YA KUCHAGUA VIONGOZI AMBAO KWA RIDHAA ZAO WALIAMUA KUWACHAGUA.

M/KITI: HASSAN OMAR CHUNDA
MSAIDIZI M/KITI: SALUM MSELLEM SURURU
KATIBU: SAID MADUBEI
MSAIDI KATIBU: FRANCIES WILLIAM
MSHIKA FEDHA:SAID MOH'D SAID ( NURAMO)
MSAIDIZI:OMAR KITWANA KOPA

WAJUMBE
1: WILLIAM MUKONY
2:SULEIMAN KHAMIS MASOUD
3:AHMEID MSELLEM SURURU
4:SAID VURU.

JUMUIYA INATOA SHUKRANI ZA THATI KWA WALE WOTE WALIOJITOKEZA KATIKA UCHAGUZI HUO AMBAO ULIMALIZA KWA SALAMA, PIA INAWAOMBEA KILA LA KHERI NA AFYA NJEMA VIONGOZI WOTE WALICHAGULIWA NA UTEKELEZAJI MZURI WA MAJUKUM YAO,PIA SHUKRANI ZAID KWA TUME YOTE ILIYOSIMAMIA UCHAGUZI MZIMA.

1 comments:

Anonymous said...

Nipongeza sana tume ya uchaguzi na viongozi wote waliochaguliwa mungu atawapa imani na upendo kuwaongoza wenzenu.nawale waliochukizwa na uchaguzi huo mungu nao atawahukumu kwa mabaya yao. mana tayari walijitokeza waliokuwa na chuki na Jumuiya ili ivunjike.Mungu ibariki Jumuiya ya greece.