Blogger Widgets

Newdeal Africa

Saturday, June 16, 2012


Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na jitihada zetu tumefanikiwa kumsafirisha marehemu ASHA HASSAN KALLENGA akazikwe nyumbani.Mwili wa Marehemu utawasili Dar 18/6 kwa ndege ya Turkish airlines (TK0603)

Pamoja na hali ngumu inayoendelea kutukabili watanzania tunaoishi ugiriki ugumu huo haukuweza kutuzuwia kutekeleza ada na mazowea ya kumsafirisha mtanzania yeyote anaefariki hapa.

Jumuiya ya watanzania ugiriki, inawashukuru wale wote walioshiriki kwa hali na mali katika kumsafirisha mwenzetu.

Tunamuomba Allah amlaze Marehemu mahala pema peponi.(Amin)

INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN

Kayu Ligopora

Katibu Mkuu

Jumuiya ya watanzania ugiriki

0 comments: