Blogger Widgets

Newdeal Africa

Wednesday, September 28, 2011

MSIBA NORWAY

Tangazo la msiba Oslo/Nesodden.

Mwenyekiti wa Chama Cha Watanzania Oslo, Dr. Tito Sendeu Tenga anasikitika kutangaza kifo cha Abraham Jengo, mtoto wa Raphael Jengo wa Nessoden, Akershus, Norway.
Mazishi yatafanyika Ijumaa, 30 Septemba 2011 saa 7 mchana (13:00 CET) kwenye kanisa la Nesodden.
Tutazidi kutoa habari zaidi za kuhusu  mazishi ya kijana huyo kwenye blogu, facebook na twitter.
Wenu, 
Chama Cha Watanzania Oslo.
http://watanzaniaoslo.blogspot.com
http://twitter.com/#!/watanzaniaoslo

0 comments: