Blogger Widgets

Newdeal Africa

Sunday, May 8, 2011

KARIBUNI WADAU

Napenda kuchukua nafasi hii kuwakaribisha wadau wote ili kuchangia habari na matukio yote ya Watanzania ughaibuni.Kwa matangazo ya aina zote tafadhali usisite kuwasiliana nasi. Pia tunahitaji wadau watakao kuwa Administrators, wasilina nasi ili tusaidiane kuendeleza libeneke hili.
KARIBU SANA!!!

1 comments:

Nasibu a.k.a Naz said...

AHSANTE SANA BRO.
GUMBO YUKO HAPA NA PICHA MOTOMOTO http://nasibupix.blogspot.com