Celina Mallya(wapili toka kulia) akamata nondoz nchini Uingereza pamoja na Watanzania wenzake Mr. Kombo (kushoto) Ruben (wapili toka kushoto) na Mr. Assenga (kulia)
Celina Mallya katika picha ya pamoja na baba mwenye nyumba wake Simbo Mallya
Celina Mallya (kulia) waliosimama) akiwa na Ruben ( Kati waliosimama) wakipata picha ya pamoja na wanafunzi wengine kwenye mahafali ya kukamata nondoz chuoni hapo.
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Kalage (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waliokamata Nondoz kutoka kushoto ni Mr.Kombo, Ruben, Celina na Mr. Assenga
0 Comments