TANGAZO LA MKUTANO
WA MAKAMU WA RAIS, Dkt. MOHAMMED GHARIB BILAL NA WATANZANIA WAISHIO
NCHI ZA SKANDINAVIA
Makamu
wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal atatembelea Uppsala
Swedenkwa ziara ya kikazi.
Wakati
wa ziara hii Mheshimiwa Bilal atapenda kukutuna na Watanzania waishio
nchi za Scandinavia siku ya Jumapili tarehe 25 September 2011 kuanzia saa
tisa na nusu alasiri katika ukumbi wa Hoteli ya Clarion Gillet uliopo
kwenye anwani ifuatayo:
Dragarbrunnsgatan 23, 75320, UPPSALA, SWEDEN.
Watanzania
mnaombwa mjitokeze kwa wingi ili mpate fursa ya kufahamiana na kujumuika na
Mheshimiwa Makamu wa Rais kwenye mkutano huu.
Tafadhali mnaombwa sana kuzingatia muda.
0 Comments