Tangazo la msiba
Oslo/Nesodden.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Watanzania Oslo, Dr. Tito Sendeu Tenga anasikitika kutangaza kifo
cha Abraham Jengo, mtoto wa Raphael Jengo wa Nessoden, Akershus, Norway.
Mazishi
yatafanyika Ijumaa, 30 Septemba 2011 saa 7 mchana (13:00 CET) kwenye kanisa la
Nesodden.
Tutazidi
kutoa habari zaidi za kuhusu mazishi ya kijana huyo kwenye blogu, facebook na twitter.
Wenu,
Chama Cha Watanzania Oslo.
http://watanzaniaoslo.blogspot.comhttp://twitter.com/#!/watanzaniaoslo
0 Comments