Blogger Widgets

Newdeal Africa

Monday, October 1, 2012

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA

Hii ni picha ya kumbukumbu ya mkutano mkuu wa kwanza wa jumuiya ya Watanzania Italia, uliofanyika makao makuu ya jumuiya mjini Napoli. Katika mkutano huu Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania Italia ndugu Abdulrahaman A.Alli alifanya uteuzi wa makatibu wawakilishi wa jumuiya mjini Padova na Genova. Mwenyekitiu alimteua ndugu Ricky J G.Bondo kuwa mwakilishi wa jumuiya wa GENOVA na maeneo yote ya karibu walipo Watanzania, vilevile alimteua ndugu Zacharia Mhessa kuwa mwakilishi wa jumuiya mjini Padova na vitongoji vyote vya karibui walipo Watanzania. Mkutano ulihidhuriwa na viongozi wote wa matawi ya jumuiya ya Italia.

0 comments: