Blogger Widgets

Newdeal Africa

Monday, October 22, 2012

MSIBA NAPOLI ITALYMarehemu  JANUARY JEREMIA MKOBA
1949- 2012
JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA  MZEE  JANUARY  JEREMIA MKOBA ( KOBA MDAULA) KILICHOTOKEA USIKU WA JUMAPILI TAREHE 21/10/2012.  KUTAKUWA NA MKUTANO WA DHARULA LEO JIONI SAA KUMI NA MBILI JIONI. MKUTANO UTAFANYIKA TALABANI  KWA DADA MARY. KUFIKA NI WAJIBU WA KILA MTANZANIA , TAFADHALI TUZINGATIE MUDA .
AHSANTENI NA POLENI SANA!

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI.  AMEEN!

0 comments: