Blogger Widgets

Newdeal Africa

Monday, September 24, 2012

GERMANY:MKUTANO MKUU WA WATANZANIA


            
UNION OF TANZANIANS IN GERMANY
MKUTANO MKUU 20.SEP. 2012
Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU)  Unapenda kuwakaribisha  wanachama wote wa UTU, Katika Mkutano mkuu wa UTU. Utakaofanyika Katika ukumbi Uliopo Ringstr. 109, 65479 Raunheim).  Siku ya Tarehe 29.09.2012, Kuanzia saa 08:00 Mchana. Tunawaomba wanachama wote  wa UTU mhudhurie katika mkutano huu muhimu. Na kwa wale ambao sio wanachaama na wanahitaji kujiunga na UTU, tuandikie barua pepe kamati.utu@googlemail.com au unaweza kuwasiliana na Mwenyekiti kupitia simu ya mkononi. 0173-4298997 Karibuni sana
Ili uweze kupiga au kupigiwa kura inabidi uwe umelipia ada ya Kiingilio cha uwanachama, na uwe umelipa  ada ya uwanachama wa mwaka mzima.
Bank Informations
Union of Tanzania in German e.V
Acc. No.59641
BLZ 71160161
VR BANK Rosenheim-Chiemsee eG
 
MALAZI:
Malazi yatapatikana Hotel Attachè Raunheim) http://www.attache.de/de
Angalia details zote ta hoteli hii kwenye attachment niliyoambatanisha. Hoteli iko karibu na Ukumbi wa Mkutano, ni karibu dakika 10 hivi kwa mguu.
Address ni: Hotel Attachè, Frankfurterstr. 34, 65479 Raunheim Tel: 06142-2040, e-Mail: welcome@attache.de
Uzuri ni kuwa bei hii nafuu tumepewa sisi Watanzania kwa ajili ya Kikao hiki, kwa hivyo kila atakayefanya booking lazima ajitambulishe kwa kutumia (TANZANIA ORGANISATION - cc. Dr. Majura)  Ningependekeza mbali na kufanya booking moja kwa moja, ingefaa pia wamjulishe Bw. Majura kuwa wamefanya booking ili tuwe na orodha kamili.
kiwa watakuwepo watu wengi wa kutosha, basi tutapewa Hotel nzima kama ifutavyo:
8-    Single Bedroom    (Watu 8)           -   Euro 50,- kila chumba
11- Double Bedrooms (Watu 22)        -   Euro 50,- kila chumba
4-   Three Bedrooms    (Watu 12)        -   Euro 65,. kila chumba
4-   Small Double Bedrooms (Watu8) -  Euro 50,- kila chumba

0 comments: