Blogger Widgets

Newdeal Africa

Thursday, July 19, 2012

ROME:TAARIFA YA KUCHELEWA KUONDOKA MWILI WA MARAEHEMU SULTANI

MARAFIKI WA SULTAN DOMINGO
WANA SIKITISHWA SANA NA KUCHELEWA KWA MWILI WA MAREHEMU,KWA SABABU ZA KIOFISI.
KAMA NI FEDHA ZILITIMIA SIKU TANO TU TANGU AFE MAREHEMU,LAKINI AGENT TULIO MPATA SAFARI HII!
HAKUONYESHA UJUZI WA KAZI YAKE.
TUMEJIFUNZA MENGI KUTOKANA NA HILI.NAPIA WENGI WAMEOMBA MARA NYINGINE ISITOKEE TENA! 
TUNAOMBA SAMAHANI KWANDUGU NA JAMAA PAMOJA NA MARAFIKI.POPOTE PALE WALIPO DUNIANI.
MWILI WA MAREHEMU UTASAFIRSHWA NA SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES ARAB – SIKU YA IJUMAA TAREHE 20/07/2012 – SAA TISA NA DAKIKA ISHIRINI NA TANO –ORE 15.25 MWILI WA MAREHEMU UTAFIKA DUBAI SAA TANO NA DAKIKA KUMI NA MBILI USIKU USIKU–ORE 23.12 NA NDEGE NAMBA EK98 EMIRATES FLIGHT – DUBAI MWILI UTAKUWA PALE- KUSUBIRI NDEGE NYINGINE-ITAKAYO ONDOKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 21/07/2012 SAA NNE NA DAKIKA HAMSINI ASUBUHI—ORE 10.50 NA ITAFIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MJINI DAR ES SALAAM TANZANIA SAA TISA NA ROBO ORE 15.15 -BAADA YA HAPO ATAPOKEWA NA NDUGU ZAKE –NA BAADA YA HAPO MWILI UTAPELEKWA MTAA WA BOKO STREET NAMBA 21 TEMEKE KWA MUDA NA BAADAE
MSIKITINI .
MWILI WA MAREHEMU ULISWALIWA NA MUFTI WALI ULLAH KHAN IDRIS- NA YOUNUS MOHAMED –ALIE UOSHA MWILI WA MAREHEMU.WOTE KUTOKA KATIKA MSIKITI WA MASJEED –E- MAKKI ULIOPO KATIKA MTAA WA ASCOLI PISCENO NO-52° PIAZZALE PRENESTINO
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA NDUGU ABDULLRAHMAN COSH ANAONDOKA NA MSIBA –ATAUSINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU KUELEKEA NYUMBANI NAPIA ATAHUDHURIA KWENYE MAZISHI.Taarifa na GEORGE MAYAKA

0 comments: