Blogger Widgets

Newdeal Africa

Thursday, July 12, 2012

ROME:RATIBA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SULTAN

marehemu: Sultan Mohamed (Domingo)

RATIBA YA MAZISHI 
ALHAMIS TAREHE 12/07/2012
SAA MBILI NA NUSU ASUBUHI MWILI WA MAREHEMU UTAOSHWA NA WAALIMU KUTOKA KWENYE MSIKITI WA PICENO-PINESTRINA-ROMA

KATIKA HOSPITALI YA SAN RAFFAELE –MAHALI MONTE COMPATRI-ROMA.
MTAA –VIA S. SILVESTR N. 67 TUTA KUTANA CAMERA MORTUARIA-

SAA NNE NA NUSU ASUBUHI JENEZA LITAFUNGWA

SAA 11.30 TUTA TOA HESHIMA ZETU ZA MWISHO KUMUAGA MAREHEMU
SAA SITA KAMILI MCHANA TUTA KUWA TUSHA MALIZA SHUGHULI ZA KUMUAGA.

SIKU YA IJUMAA TAREHE 13/07/2012 JIONI – TUTAKUWA TUSHAPATA MAJIBU KUTOKA KWA AGENT – KUHUSU USAFIRI WA MAREHEMU KWENDA NYUMBANI- MTAA WA BOKO STREET N0-21 TEMEKE Dar-es salaam—TANZANIA.
BY GEORGE MAYAKA

0 comments: