Blogger Widgets

Newdeal Africa

Thursday, July 5, 2012

ROME: TANGAZO LA MSIBA

SULTAN MOHAMED  (DOMINGO)

 • TUNA SIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUGU YETU MPENZI
  SULTANI MOHAMED (DOMINGO)—KILICHO TOKEA KATIKA HOSPITALI YA
  SAN RAFFAELE – MAHALI – MONTE COMPATRI – VIA S. SILVESTR N,67. SIKU YA JUMATATU TAREHE 2/07/2012 SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI ROMA – ITALY.
  MAREHEMU ALISUMBULIWA NA MARADHI YA CANCER YA MAPAFU.
  ... WATANZANIA WOTE MNAO ISHI ROMA MNATAKIWA MFIKE KWENYE MKUTANO SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 7/07/2012
  KATIKA PIZZERIA YA SOUTH INDIAN RESTAURANT VIA PRINCIPE
  AMEDEO 70 . MAENEO YA TERMINI . MNAOMBWA MFIKE SAA
  KUMI JIONI ILI TUFANIKISHE USAFIRI WA KUMPELEKA NYUMBANI.
  NDUGU WA MAREHEMU WANAZO TAARIFA WANA USUBIRI MWILI WA MAREHEMU DAR ES SALAAM KATIKA MAENEO YA MTAA WA BOKO STREET 27 – TEMEKE.UMOJA NI NGUVU TOWENI
  TAARIFA KWA WENGINE AHSANTENI

  KWA MAELEKEZO ZAIDI PIGA NAMBA HIZI 00393887381786 ROME-ITALY

  Rome, Lazio.

0 comments: