Ticker

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Funeral Arrangements

Patrin Kibelloh
(1963-2012)

Funeral Arrangements for the Late Patrin Kibelloh of Saugus, MA (1963-2012):

Mazishi ya Patrin Kibelloh yatakuwa Ijumaa, Kesho July 13, 2012
Patrin Kibelloh 1963-2012

Wadau hii ni taariffa niliyopata jioni hii:

Mazishi ya marehemu Patrin Kibelloh, yatafanyika kesho Ijumaa, Julai 13, 2012 saa saba mchana baa ya sala ya Ijumaa kwenye mskiti 100 Malcolm X Boulevard, Roxbury MA 02120 (Islamic Society of Boston).

Maziko yatakuwa Gethsemane Cemetery 670 Baker St., West Roxbury, MA 02132.

Baada ya kutoka makaburini, watu wataelekea nyumbani kwa marehemu 5 Warden St. Saugus, MA 01906.

Rest in eternal peace dear Patrin.
By Chemi whitlow

Post a Comment

0 Comments