Blogger Widgets

Newdeal Africa

Tuesday, May 29, 2012

FUJO ZA ZANZIBAR

KATIKA fujo zilizotokea hivi karibuni Zanzibar, kila mmoja atakuwa na rai yake kulingana na jinsi anavyoyaangalia mambo.Ila kama utapata wasaa jaribu usome "HOJA YA MDAU KUTOKA ZENJY" aliyoituma kwenye blog ya Michuzi 29/05/2012.
Ni muda mchache uliopita nilimaliza kusoma hoja hiyo na bila kuchelewa nikajikuta napenda na wengine waisome.
Namuomba Mungu atupe hekima,atupunguze jazba katika maamuzi na atuepushe na yale yanayotokea NIGERIA(Amin)

KAYU LIGOPORA

0 comments: