Blogger Widgets

Newdeal Africa

Tuesday, April 10, 2012

RAMBIRAMBI KWA FAMILIA YA STEVEN KANUMBA NA WATANZANIA KWA UJUMLA            Steven Kanumba


TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISION INATOA RAMBIRAMBI ZAKE KWA FAMILIA YA MSANII WA FILAMU STEVEN KANUMBA
NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA KWA MSIBA MKUBWA ULIOTUKUTA.KIFO CHA STEVEN KANUMBA KIMEWAGUSA WASANII
WOTE WA FANI MBALIMMBALI NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.
TUNAOMBA KWA PAMOJA MWENYEZI MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YA MWENZETU STEVEN KANUMBA
AMEEN.

TMTV
UTAWALA.

0 comments: