Blogger Widgets

Newdeal Africa

Wednesday, January 4, 2012

Watanzania Waukaribisha Mwaka Mpya 2012 Kwa Furaha Ndani Ya Dallas, USA.


Watanzania kutoka miji mbalimbali na waishio katika mji wa Dallas jimbo la Texas nchini Marekani waliukaribisha mwaka 2012 kwa furaha na sherehe kubwa iliyofana siku ya mkesha wa mwaka mpya katika ukumbi wa Ginas Banquet Hall.
picha zaidi gonga BONGO RADIO

0 comments: