Blogger Widgets

Newdeal Africa

Sunday, January 22, 2012

WATANZANIA SIKU WALIYOMUAGA MAREHEMU TWAHIR HUSSEN OMAR MJINI NAPOLI

Baadhi ya Watanzania waliotoka miji ya mbali na Napoli.

Pichani alieinamia meza ni Ramadhan Mavumbi  akiwa katika majonzi baada ya kusoma wasifu wa marehemu Twahir.

Baadhi ya Watanzania waliotoka mji mkuu Roma ,pichani ni Katibu wa jumuiya ya Watanzania Roma ndugu Andrew Mhella , katikati ni Ofisa wa ubalozi na mweka hazina wa jumuiya ya watanzania Roma ndugu Awadh.

Baadhi ya Watanzania waliotoka miji ya Modena ,Bologna ,Genova na sehemu zingine
,

Pichani kama unakumbukumbu nzuri ya kandanda  utawakumbuka hawa wacheza wa enzi izo  mzee Waswa na Kassa Mussa.

Wakina dada pichani wakitoa huduma ya chakula huku wakiwa na tshirt zenye picha ya marehemu Twahir

Picha na George Mayaka
Copyright © 2012  George Mayaka  All rights reserved.
Kwa picha zaidi Gonga hapa GEORGE MAYAKA.

0 comments: