Blogger Widgets

Newdeal Africa

Thursday, January 5, 2012

MSIBA NAPOLI

Marehemu Twahir hussein Omari maarufu kwa jina la Kaka Twaa  au Mboga zote 

JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTANZANIA PICHANI NDUGU  TWAHIR HUSSEIN OMARI KILICHOTEKEA JANA USIKU MJINI NAPOLI. SABABU YA KIFO CHAKE ITAPATIKANA BAADAE BAADA YA UCHUNGUZI WA MADAKTARI. MIPANGO YA MAZISHI TAYARI INAFANYWA  JUMUIYA INAWATAKA WATANZANIA KUJITOKEZA  KWA WINGI NA KUJITOLEA ZAIDI KATIKA MICHANGO ILI KUWEZA KUUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU NYUMBANI. MAREHEMU NI MWENYEJI WA TANGA   BARABARA  15.NA HAPA ITALY ALIKUWA AKIISHI MJINI MODENA. MATAWI YOTE YA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA NA JUMUIYA ZOTE ZINAOMBWA KUKUTANA MARA MOJA ILI KUKUSANYA MICHANGO. KWA MAWASILIANO  WASILIANA NA  KATIBU N° +39 329 4149 712
 TUNAUNGANA NA  WATANZANIA WOTE WANAOMFAHAMU , NDUGU  NA WAZAZI KATIKA  WAKATI HUU MGUMU WA MAOMBOLEZO.  MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA! AMIN!

0 comments: