Blogger Widgets

Newdeal Africa

Sunday, December 11, 2011

SHEREHE YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA ILIYOFANYIKA UGIRIKISHEREHE YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA ILIYOFANYIKA UGIRIKI

Pamoja na hali ngumu ya kiuchumi inayoendelea kuikumba ugiriki, watanzania tunaoishi nchi hii tulikusanyika Jumamosi 10/12/2011 katika ofisi ya Jumuiya iliyopo Athens na kusherehekea hadi asubuhi.

Uendeshaji wa sherehe ulisimamiwa na watoto wetu SHARMILA wa Kasa Musa,MWANAIDI wa Jumbe Sheha ,MARIA wa Bangura NA MARIAMU wa Alawi.


KAYU LIGOPORA

KATIBU MKUU

JUMUIYA YA WATANZANIA UGIRIKI


0 comments: