Blogger Widgets

Newdeal Africa

Wednesday, December 28, 2011

NAPOLI-ITALY:MAPOKEZI YA MALKIA WA MIPASHO HADIJA KOPA

 Hadija Kopa akiwa na Lady Judy ambae ndie aliyekuwa msimamizi mkuu wa show nzima.
 Wadau wakichiazi baada  ya kumfikisha malkia wa mipasho Hotelini
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Italia Abdulrahamani A.Alli akimkaribisha Hadija Kopa Napoli
Hadija Kopa pichani akiwa na wadau wa Napoli mara baada ya kuwasili tayari kwa burudani la Christmass. Malkia wa Mipasho aliwanyongesha mpaka asubuhi!!! Picha na George Mayaka

0 comments: