Blogger Widgets

Newdeal Africa

Saturday, December 10, 2011

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Rome alivyoshiriki na kutoa kombe kwenye mashindano ya Kimataifa ya bao mjini Rome

Mheshimiwa Leonce Uwandameno akitoa kikombe kwa mshindi wa kwanza wa
Mashindano ya Kimataifa ya Nne ya mchezo wa Bao la Kiswahili yaliyofanyika mjini Roma mwezi wa Septemba, 2011. Wachezaji kumi na tatu kutoka Uholanzi, Uswizi na Italia walihudhuria mashindano haya.

0 comments: