Ticker

6/recent/ticker-posts

Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MAREHEMU ALIYEZUIWA AIRPORT TOKA UGIRIKI




Mara kadhaa imeshatokea baadhi ya watanzania kukosa haki zao kwa sababu ya utumiaji wa uraia wa nchi nyingine.Nasi bado kidogo itukumbe hali hiyo tulipomsafirisha marehemu SAIDI HASSAN MGOI (Maarufu kwa jina la Chance.)
Soma barua tuliyoituma Uhamiaji utapata picha kamili ya hali ilivyokuwa.
Nadhani itapendeza kama tutabadilishana mawazo kuhusiana na hii hali ya mihangaiko ya kimaisha ambayo wakati mwingine hulazimu mtanzania ajiandikishe uraia wa nchi nyingine ili aweze ku-survive katika nchi aliyopo,hali ambayo mara nyingi huwa vigumu kwa wale wasioishi katika mazingira yetu kuielewa.
(KAYU LIGOPORA)

Post a Comment

1 Comments

Anonymous said…
unavyosema ni sawa kabisa ni vizuri tungekuwa na mjadala wa hapa na pale kuhusiana na hii hali ya uraia pacha ila mimi nilikuwa nataka tujiulize kwa nini hadi leo hii serikali yt ya Bongo bado inalitilia kauzibe hili swala la uraia pacha wakati kwamba kila nchi hivi sasa inakubaliana na swala hili?