Blogger Widgets

Newdeal Africa

Friday, August 12, 2011

JE WAJUA HII?

Hili ni fundisho kwa dada zetu kule nyumbani kwani hao watu wa magharibi na huko Bongo wapo, sasa wasije wakaendeleza libeneke lao kwetu. tuwe makini na serikali yetu iliangalie hili kwani hata hao wanaokwenda Arabuni nako kazi ni hiyo.

1 comments:

Anonymous said...

jamania jamani, umasikini huu. Nomaaaa.